Madhumuni haswa ya kozi hii ni kulainisha msamiati, maelezo, misemo, methali na ufahamu wa Kiswahili kwa mazoea. Tutasoma hadithi fupi fupi, tutachambua muziki zaidi na kutazama filamu kutoka Afrika Mashariki.

Karibuni sana!